Mbowe taabani kifedha, Sakata la Dangote kaa la moto na Kasi wanaotemwa vyuo vikuu yapaa ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 1, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Warioba: Maadili yameporomoka kwa viongozi na jamii
Breaking News: Lady Jay Dee ayamaliza na Ruge, aruhusu Clouds kupiga nyimbo zake