Mfumuko wa bei hapa nchini umezidi kushuka  kwa bidhaa za vyakula mpaka kufikia asilimia 6.0 kwa mwezi Oktoba, 2016 kutoka asilimia 6.1 mwezi Septemba, huku bidhaa zisizo za vyakula  zikipanda na kuongezeka hadi asilimia 2.9 mwezi Oktoba, 2016 kutoka asilimia 2.4 mwezi septemba,  ambapo kwa upande wa bidhaa jumuishi za nishati na vyakula  kwa mwezi Oktoba umebaki kuwa pale pale kwa asilimia 2.4 kama ilivyokuwa mwezi Septemba.

Hayo yamesemwa na Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Ruth Minja alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo. Bofya hapa kutazama video

Prof. Mchome: Toeni elimu ya haki za binadamu kwa umma
Antonio Conte Kujaribu Tena Kwa Leonardo Bonucci