Serikali  ilitangaza elimu bure kuanzia elimu ya msingi mpaka kufikia kidato cha nne, lakini pia kumekuwa na changamoto kubwa ya uhaba wa madawati ambapo Serikali ilianzisha kampeni ya uchangiaji wa madawati, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda  amekabidhiwa kiasi cha shilingi milioni 100 kutoka Bank ya CRDB kwa ajili ya manunuzi ya madawati katika Mkoa wa Dar es Salaam

Utafiti: Asilimia 88 ya wananchi wataka Bunge lirushwe ‘Live’
John Legend amchana Donald Trump ‘kivyake’