Msanii wa Tip Top Connection, Madee Ali ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake wa Migulu Upande ulioanza kufanya vizuri kwenye vyombo mbalimbali vya habari.

Video hiyo imefanyika hapa nchini na kuongozwa na muongozaji mkongwe wa video za muziki, Adam Juma wa Visual Lab.

Enjoy:

Mkuu wa Wilaya awakwepa vigogo waficha sukari, aogopa kuwekwa mitandaoni
Lipumba alia na Rais Magufuli, adai ni chanzo cha sakata hili