Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake ‘Wapo’, wimbo ambao uliteka vichwa vya habari nchini kutokana na misukosuko na hatimaye mwisho wenye furaha uliomkuta rapa huyo.

Video ya ‘Wapo’ imeongozwa na Khalfani Khalimandro.

Sirro afunguka kuhusu kupotea kwa Roma, kesho kutoa taarifa kamili
Spika Ndugai: Nitahakikisha chadema wanapata haki yao EALA