Mshindi wa shindano la ‘Mawazo Bora ya Biashara’ lililokuwa likiendeshwa na marehemu Dkt. Reginald Mengi, Omary Kibanga amesema kuwa Mengi anatakiwa kuenziwa kwakuwa amegusa nyanja mbalimbali katika jamii.

Ameyasema hayo jijijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa marehemu Dkt. Reginald Mengi aliyefariki Mei 2, mwaka huu huko nchi za Falme za Kiarabu alikokuwa ameenda kwaajiri ya mapumziko.

”Mzee Mengi amefanya mambo makubwa sana katika jamii, amesaidia katika nyanja tofauti tofauti, hivyo basi watu kama hawa walioweka alama kubwa wanatakiwa kuenziwa,”amesema Kibanga

Mahakama yaamuru mali za DECI zitaifishwe
Je unatafuta ajira?, Hizi hapa nafasi 10 za ajira kwa ajili yako

Comments

comments