Natalia Kuznetsova ni mwanamke mwenye uraia wa Urusi aliyepata umaarufu mkubwa kutokana na taaluma yake ya kunyanyua vitu vizito na kumpelekea kuchukua tuzo 30 tofauti tofauti.

Akiwa mwenye umri wa miaka 14 aliamua kujiunga na kituo cha kunyanyua vitu vizito na miaka miwili baadae alipata ubingwa wa mashindano ya unyanyuaji vitu vizito katika mkoa wake.

Mwaka 2014 aliweka rekodi ya kunyanyua uzito wa kilo 169.644 na kumfanya kuwa bingwa Ulaya.

Tazama video hapa chini.

Afa kwenye ndege baada ya kumeza kete 246 za 'Unga'
Video: Nyalandu akamatwa, Sakata la makinikia lafufuliwa bungeni

Comments

comments