Polisi watanda ibada ya Askofu Mokiva, Steve Nyerere mbaroni, Wema sepetu atoa sababu za kuhamia Chadema, asema anakwenda upinzani kupigania demokrasia, Mvua yaua maharusi wakitoka kufunga ndoa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 25, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Baada ya kuzushiwa kifo, Mwinyi awatoa hofu Watanzania
Mechi ya Simba na Yanga yamvuta Lowassa uwanja Taifa