Rais wa Misri anatarajiwa kuwasili nchini hapo kesho kwaajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.

Hayo yamesemwa mapema hii leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Hata hivyo, amewataka wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kujitokeza kwa wingi ili kumlaki Rais huyo.

Video: Rita watambulisha mfumo mpya wa vizazi na vifo
LIVE: Mshindi kutangazwa Kenya