Mbunge wa Geita Joseph, Musukuma amechangia mapendekezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alilieleza Bunge kuwa Serikali imekuwa inawanyanyasa Wafugaji jimboni mwake wakilazimishwa kuwauza Ng’ombe bila ridhaa.

“Sasa tumeamua, tutaziroga hizo Ng’ombe mnaokula mvimbe matumbo huko Dar es salaam” amesema Msumuka, Bofya hapa kutazama

Video: Aliyosema Tundu Lissu kuhusu uamuzi wa Rais Magufuli
Nukuu ya Leo