Sakata la Makinikia, Wataka Mkapa, JK washitakiwe, Chenge, Muhongo wazuiwa kusafiri nje ya nchi, Lowassa akoleza moto wa mchanga, Agusa viongozi wastaafu sakata la utiaji saini mikataba ya madini, Mdee, Bulaya adhabu kubwa yawanyemelea…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 14, 2017. Bofya hapa kutazama

Breakingnews: Ghorofa kubwa lateketea kwa moto London | Live
Magazeti ya Tanzania leo Juni 14, 2017

Comments

comments