Burudani Wimbo Mpya: Roma ft Jos Mtambo & Darassa – Kaa Tayari 7 years ago Hatimaye Roma ameachia rasmi wimbo wake mpya ‘Kaa Tayari’ aliowashirikisha Jos Mtambo na Darassa, wimbo uliopikwa ndani ya Tongwe Records. Video inatoka muda sio mrefu pia. Endelea kuifuatilia Da24. Naibu Waziri Mpina Akitoza Faini Ya millioni Kumi Kiwanda Cha MMI steel Kwa Uchafuzi Wa Mazingira Baada Ya Kuondoka Arsenal, Neema Zamshukia Thierry Henry