Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi.

Dkt. Mpango amewasili Burundi hii leo Mei 31, 2023 kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika nchini Burundi.

Zifuatazo ni Picha za baadhi ya matukio wakati wa kuwasili kwake nchini humo.

Maguere ruhsa kuondoka Manchester United
Wanajihadi 35 wa kundi la IS wahukumiwa kifo kwa kupigana