Makatibu Wakuu Wakutana kujadili masuala ya Lishe

Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Dkt. Wilson Charles Mahela ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kwa lengo la kupitia andiko la Lishe kwa ajili ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kilichofanyika hii leo Februari 8, 2024 katika Ukumbi wa ofisi hiyo Jijini Dodoma.

 

600 waomba kazi GFA
Watuhumiwa utengenezaji Pombe feki wafikishwa Mahakamani