Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto  Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo jipya la Mafinga, Ndg. Vincent Cosmas Mwagala.

Sherehe zinafanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Kiaskofu jimboni Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, ambalo limezaliwa kutoka Jimbo la Iringa.

 

Namba za 3D: Polisi waendeleza kibano
TAMISEMI ichunguze usuaji wa miradi Manyara - Kamati