Wananchi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wamelaani shambulio lililotokea Machi 29, 2024 kwa Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, huku wakiliomba Jeshi la Polisi kutumia mbinu zao ili kuwakamata watuhumiwa hao.

Christopher ole sendeka na Dereva wake walishambuliwa na watu wasiojulikana baada ya kuwavamia na silaha katika kona iliyopo Kijiji cha Ngaboro Kata ya Ndedo Wilayani Kiteto,akiwa njiani anaelekea Jimboni kwake Simanjiro.

Ufisadi: Saa yamuingiza matatani Rais
Tanzania, Burundi zasaini hati makubaliano Sekta ya Madini