Mkuu wa mkoa wa Dar, es salaam Paul Makonda ametoa taarifa muhimu kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam. Makonda ameeleza namna ya kuepuka matukio mbali mbali yanayotishia na kuhatarisha maisha ya watu hivyo ni haki na sababu za msingi kwa wenye viti wa mitaa kufahamu kila nyumba wanakaa watu gani na wanafanya shughuli gani.