Mzee wa miaka 75 nchini Tanzania mkazi wa Dar es salaam anayejulikana kwa jina la Athuman Bakari Mchambua ameweka bango  lenye sifa za mke anayemtaka, katikati ya mtaa anaoishi.
Alichukua maamuzi hayo baada ya kufiwa na mke wake.
Amesema hawezi kutumia njia nyingine yoyote isipokua udahili ama mahojiano kumpata mke.