Msanii wa muziki wa mduara kutoka Zanzibar Ally Toll maarufu kama AT amesema mkuwa alimsaidia Diamond Platnumz kurekodi video ya mbagala baadaya kumfata na kumwambia nataka kuwa kama wewe ambapo amesema alijua Diamond Platnumz atafanikiwa ndio maana akamsaidia

Amefunguka kupitia kipindi cha mahojiano cha The Plug cha Dar24 Media, amesema kuwa yeye na diamond wamefahamiana toka zamani na sio kwamba walijuana juzi, ambapo amesema anapenda mafaniko ya diamond na hapendi sehemu ambayo anakosea na wala hawezi kumzungumzia vibaya.

‘Watu wemeshindwa kuelewa ili diamond afanikiwe lazima tuwepo watu ambao tutamshauri, mimi tu kumthihaki Diamond ni taatizo lakini kumuelewesha njia sahihi ambayo itamsaidia sio tatizo, sisi tunashindwa kuelewa kwamba mtu akifahamishwa sio kwamba watu wananmchukia”amesema AT

”Watu wanasema natafuta kiki mimi hizo kiki hata sitafuti kwasababu nilifanya game kabla ya haya mambo yote kutokea hata hiyo instagram imenikuta kwenye game, mambo yakutrendi yamenikuta kwenye game” amesema AT

UEFA Euro 2020: 16 Bora kuwa ya moto
Ronaldo afikia rekodi ya Ali Daei