Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limeipangia Azam FC kusubiri mshindi kati ya Bidviets Witts ya Afrika Kusini dhidi ya bingwa wa Kombe la FA nchini Shelisheli.
Azam FC ndiyo wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kushika nafasi ya pili msimu uliopita nyuma ya mabingwa Yanga.
Bingwa huyo wa FA wa Shelisheli anatarajia kupatikana wikiendi hii.
Iwapo Azam itashinda mechi yake hiyo ya kwanza, itakutana na vigogo Club Esperance de Tunis ya Tunisia

Meneja CRDB ashikiliwa kwa Ujambazi, Ugaidi
Lowassa: Nimeporwa...!