Jose Mourinho alimaliza wiki kwa uchungu zaidi baada ya jana kulala 3-0 dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Etihad.
Kufuatia kumshambulia hadharani daktari wa timu, Eva Carneiro na mtaalam wa viungo, Jon Fearn kwa kitendo cha kumtibu Eden Hazard kwenye mechi waliyotoka sare ya 2-2 na Swansea, Mourinho amedhihakiwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii.
Watu wamemkebehi kocha huyo mwenye maneno mengi zaidi duniani.
Hizi ni baadhi ya kejeli kwa Mourinho

Nape: Viongozi wa CCM Wengine Watahamia Ukawa
Balotelli Arejea Etihad Stadium