Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva diamond platnumz na Mimi mars wameonekana wakiogelea wote nyumbani kwa msanii diamond platnumz jambo ambalo limeibua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii huku wengi wakipigia mstari kile alichowahi kukiposti msanii huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram kuhusu Mimi mars.

Wiki iliyopita, kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka kipande kidogo cha video ya Mimi na kuandika maneno “Mi nakapendaga haka katoto…. Sema sjui ata Tyming naikoseaga wapi Mwana wa Dangote… Doh!”

Mimi mars kuonekana kwa diamond platnumz huenda tukasikia chochote kwani hakuomba Collabo kwa bali alisema anampenda. Kwa maoni yako unahisi kitu gani kinaendelea kati ya wasanii hao wawili?

Bonyeza link hapa chini kwa taarifa zaidi…

Waziri mkuu ashindwa kuunda serikali - Lebanon
La mgambo linakaribia kulia Marekani

Comments

comments