Diamond tayari ameshaachia mtandaoni video yake aliyomshirikisha msanii maarufu nchini marekani msanii wa muziki wa Hippop anayejulikana kama Rick Ross wimbo huo unaenda kwa ajina la Waka.

Takwimu zinaonesha nchini Tanzania msanii Diamond Platinum ni msanii anaeyeongoza kufanya kolabo na wasani wakubwa Afrika na Dunia kwa ujumla.

Akiwa tayari ameshafanya kolabo kali na wasanii kama Neyo, Davido, Rick Ross, Iyanya, Mr Flavour,   na wengine wengi, Lengo likiwa ni kuitambulisha vyema Tanzania na muziki wake wa Bongo fleva na kuiaminisha dunia kuwa Tanzania kuna vipaji.

Bonyeza link hapo chini kuutazama muziki wa kijana toka Tandale mpaka Marekani akifanya kwenye kolabo akiwa na Rick Ross.

 

Wabunge Chadema wajiengua michuano ya mabunge EAC
Mwijage afuata nyayo za JPM