Serikali ya Rais Donald Trump imeamua  kujiondoa kwenye mpango wa Umoja wa Kimataifa (United Nations), na kudai kuimarisha  na kuboresha mazingira kwa wahamiaji na wakimbizi.

Serikali imetaja sababu za kujitoa kwenye mpango huo wa UN na kusema umoja huo unaingilia mamlaka ya ndani ya Marekani na unapingana na sera zake dhidi ya uhamiaji.

Taarifa za kujitoa kwa Marekani zimekuja muda mchache kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa Umoja wa mataifa ulipangwa kuanza Jumatatu huko Puerto Vallarta, Mexico.

Mpango wa Marekani unaendana na sera ya Rais Trump ya ”Marekani Kwanza” lakini hautaboresha uhusiano wake na nchi zinazoendela.

Aliyesambaza picha za majengo UDSM atiwa mbaroni
Video: Mimi sijamsaliti Zitto- Msando