Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Mwanjombe limemtajngaza rasmi Ester Matiku (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo.

Matiko amekuwa mbunge wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka histori kubwa katika wilaya ya Tarime mjini kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mbunge katika wilaya hiyo inayosadikika kuwa na historia ya mfumo dume hususan katika ngazi ya familia.

Bi. Matiku amewazidi Michael Kimbaki wa CCM aliyepata kura 14, 025, Deogratius Mbangi aliyepata kura 336.

Watu waliojiandikisha kupiga kura ni 48,515, waliopiga kura walikuwa 35,172.

Matokeo Rasmi: Magufuli Aongoza Majimbo Matatu Ya Awali
Wagombea Ubunge Waliojitangazia ushindi na Hali ya Baadhi ya Majimbo