Wataalamu wa kampuni ya  Google wamezifutilia mbali App 17 za  Android  kwa kukutwa na makosa ya kuiba taarifa za watumiaji wake.

Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kubaini wizi huo wa taarifa ulifanywa kwenye jumbe za simu , orodha ya kwenye mawasiliano na taarifa za kifaa husika (device)

Pia kwa kujisajiri pia kujisajili kwenye WAP ( wireless application protocol) bila ridhaa ya mtumaji.

Watumiaji wa App hizo wanashauriwa kuziondoa haraka (unstall) kwenye orodha ya app kwenye simu zao .

Mfumo wa  google play huwa unafanya ukaguzi kubaini  kugundua programu hatari na zenye zengwe .

App hizo ni Direct messenger, All Good PDF scanner, Unique keyboard – fancy fonts & free emoticons,Mint Leaf Message – Your private message,Tangram App Lock, Private SMS,One Sentence Translator , Style Photo Collage ,Desire Translate, Meticulous Scanner , Talent Photo Editor, Care Message ,Part Message , Paper Doc Scanner , Blue Scanner,All Good PDF scanner ,Hummingbird PDF Converter

Binti anaswa akisafirisha dawa za kulevya
JPM alivyounguruma akielekea Iringa

Comments

comments