Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 17, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

               

 

Muuguzi wa kiume abaka hospitalini, DED wa Nachigwea amvuruga Magufuli
Serikali yashinda rufaa, ma DED kusimamia uchaguzi