Idris Sultan amepasua jipu kuhusu uhusiano wake na Wema Sepetu ambao umekuwa ukizua utata kila siku huku mashabiki wao wakiubatiza majina mbalimbali.

Idris ameweka wazi kuhusu hali ya uhusiano wao na namna anavyomchukulia Wema Sepetu kama mkewe. Kwa mujibu wa maelezo yake, yeye na mrembo huyo wanatarajia kupata mtoto ingawa bado hawajafahamu jinsi ya mtoto huyo.

Leo, Idris amepost kwenye Instagram ujumbe unaoweka wazi maisha yake na ‘mkewe’ Wema.

W na I

“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you. As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no i am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food. The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile. I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife” heart_eyes,” Idris aliandika.

 

Bashe amvaa Membe, amuita mwanasiasa 'Mufilisi'
Makamba amtumbua kiongozi wa Bomoaboma