Familia ya Mwanamuziki maarufu duniani John Legend aliyetamba na wimbo wa “All of You” wamepata pigo baada ya kumpoteza mtoto wao waliyemtegemea kumpata.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mke wa John Legend, Chrissy Teigen ameandika ujumbe mzito kuhusu kutokea kwa tatizo la kumpoteza mtoto waliyetegemea kumpata

Ambapo amesema kuwa sababu iliyosababisha mtoto wao kufariki ni baada yakuvuja kwa damu nyingi kitendo ambacho tatizo hilo kutokea,

”We are shocked and in the kind of deep pain you only hear about, the kind of pain we’ve never felt before. We were never able to stop the bleeding and give our baby the fluids he needed, despite bags and bags of blood transfusions. It just wasn’t enough”. ameandika Teigen

Hata hivyo amewashukuru wote ambao wamekuwa naye pamoja katika kipindi hiki kigumu akiwemo mwanamitindo maarufu duniani Kim Kardashian ambaye amekuwa naye pamoja mwanzo mpaka mwisho.

Azam FC waiandalia dozi Kagera Sugar
Dhamira ya Man Utd kwa Dembele

Comments

comments