Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), inaendelea kufuatilia mwenendo wa kimbunga Freddy na kusema itatoa taarifa kuhusiana na matokeo yatakayopatikana ikiwa kuna umuhimu.

Kupitia Vyombo vya Habari, TMA imeeleza kwamba imekuwa ikikifuatilia kimbunga hicho na kujiridhisha kuwa hakina madhara kwa maeneo ya nchini.

Kimbunga.

Kimbunga hicho, kinaripotiwa kuwa katika maeno ya Kusini magharibi mwa Bahari ya Hindi jirani na Pwani ya Taifa la Madagascar.

Taarifa hii ya TMA imetokana na uwepo wa habari kuhusu kimbunga zinazosambaa katika mitandao ya kijamii, hali lilyopelekea kuzua kwa taharuki.

Shauri la Uraia PACHA mahakamani
Wawili wafariki ajali ya Pikipiki kugonga Gari