Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta akiapishwa ili kuweza kuiongoza nchi hiyo kwa awamu ya pili kwa mujibu wa sheria za Kenya, baada ya ushindi alioupata kufuatia uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26, 2017.

Kenyatta ataapa mbele ya Jaji Mkuu wa nchi hiyo, David Maraga ambaye ndiye aliyetengua matokeo ya ushindi wake baada ya uchaguzi wa Agosti 8 kwa amri ya mahakama. Bofya hapa kutazama muda huu.

BREAKING: Hali yawa tete Kenya, Uhuru akiapiswa
Samia Suluhu amwakilisha JPM sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta