Wananchi na Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wameendelea kufurahia elimu na huduma za mfuko huo, zinazotolewa katika maonesho ya ya Vijana Kitaifa yanayoendelea Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pia amepata wasaa wa kuhudhuria.

NSSF inashiriki maonesho hayo kutoa elimu ya hifadhi ya jamii, kuandikisha wanachama, kueleza fursa za Uwekezaji pamoja na kutatua kero mbalimbali za wanachama.

Baadhi ya Wafanyakazi wa NSSF katika picha ya pamoja.

Wakurugenzi wapya TAWA kutekeleza mikakati kuzuia ujangili
Mwamuzi Abongile Tom kuamua Simba SC Vs Primero de Agosto