Aliyewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo pamoja na Jamhuri, Mkinga Mkinga amefariki dunia leo Alhamisi Juni 24, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Mpaka umauti unamkuta, Mkinga alikuwa mmoja wa Wahariri wa gazeti la Jamhuri.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.

Gomes: Julai 03 itakua ngumu
Magari sita ya abiria yakamatwa na msiba feki Morogoro