Jay Z na Beyonce walikuwa na kila sababu ya kutabasamu siku nzima Jumamosi iliyopita wakati wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya binti yao Blue Ivy alitimiza miaka minne, Januari 7 (siku mbili kabla ya Jumamosi).

Familia hiyo tajiri ya masupastaa ilifanya tafrija ya pekee iliyohudhuriwa na watu wachache wasiozidi 50 akiwemo Kelly Rowland.

Blue Ivy Birthday

Kwa mujibu wa E!, tafrija hiyo ilipambwa na mbwembwe za keki kubwa, ice cream na Maputo ya gharama pamoja na vifaa kadhaa vya michezo vya watoto.

Sherehe Kichaa: Maelfu watembea nusu watupu kuadhimisha 'No Pants Day'
Video: Messi Abeba Tuzo ya Ballon D’Or 2015, Avunja Rekodi