Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Agosti 26, 2021 amepokea hati za utambulisho wa Mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Chile Nchini Maria Alejandra Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Belarus Nchini Pavel Vziatkin Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Australia Nchini Luke Joseph Williams Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Colombia Nchini Monica Greiff Lindo Ikulu Jijini Dar es salaam

Halmashauri 11 kikaangoni kutelekeza mpango wa lishe
Waitara atoa maagizo kwa taasisi za miundombinu