Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama (PSC) la Umoja wa Afrika (AU) pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kujadili hali ya Usalama katika eneo la Mashariki ya Jamhuri ya  Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Mkutano huo umefanyika katika Jengo la Amani na Usalama la Mwalimu Julius Nyerere lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa tarehe 17 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama (PSC) la Umoja wa Afrika (AU) na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kujadili hali ya Usalama katika eneo la Mashariki mwa DRC.
Mkutano huu umefanyika katika Jengo la Amani na Usalama la Mwalimu Julius Nyerere lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa tarehe 17 Februari, 2023.

Aliyefariki akiiga mfungo wa Yesu alikataa ushauri
Serikali kuendeleza ushirikiano na wadau masuala ya afya