Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Rais Dkt. Samia amefanya mazungumzo hayo hii leo Machi 31, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam ikiwa ni muda mchache tangua kuagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi kwa siku tatu nchini.

Mecky Maxime awashangaa wanaoibeza taifa Stars
JKT Tanzania yaweka rekodi nzito Championship