Wakati tatizo la sukari likiendelea kuwa changamoto nchini jeshi la polisi kanda maalumu jijini Dar es salaam linawashikilia watu wawili kwa kukamatwa na mifuko 17 ya kilo hamsini za sukari

Kamanda wa polisi kanda maalumu Simon .N. Sirro amewaeleza waandishi wa habari kwamba sukari hiyo ilikamatwa juni 08 mwaka huu maeneo ya kunduchi pwani majira ya saa09:00

Amesema sukari hiyo ilikuwa imepakizwa katika bajaji yenye namba za usajili MC707 ASF  na Askari waliokuwa doria maeneo hayo  na kuongeza kuwa kwa sasawatuhumiwa hao kwa sasa wanaendelea kuhojiwa na pindi upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani kwa hatua zaidi.

Video: NIDA kuwapatia Watanzania wote vitambulisho vya Taifa
Video: Jeshi la polisi limekamata jumla ya watuhumia 711 ndani ya wiki moja, Wametajwa 'Panya road'