Mganga Mkuu wa  Serikali Dkt. Aifello Wedson Sichelwe Ametolea ufafanuzi video inayosambaa mtandaoni inayomuonesha Dkt. Sospeter Bulugu aliyeshindwa kuendelea na mdahalo wa kisayansi kuhusu ugonjwa wa UVIKO.

Young Africans yapelekwa Nigeria
Naibu Ulega atoa maagizo kukomesha wizi wa mifugo