Shirikisho la soka nchini Tanzania ‘TFF’ kimetangaza hadharani makundi ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RSL 2022) pamoja na tarehe ta kuanza kwa michuano hiyo.

TFF imetoa taarifa maalum kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, ambapo rasmi michuano ya Ligi ya Mabingwa imepangwa kuanza Februari 25.

Michuano hiyo kwa mwaka huu 2022 itakua na makundi manne (A,B,C na D), ambayo yamepangwa katika mikoa Ruvuma, Shinyanga, Kigoma na Kilimanjaro.

May be an image of text that says "Tanzania Football Federation TAARIFA Mabingwa kuanza Mikoa (RCL2022) hatua ya Makundi inatarajiwa itachezwa zitakazocheza vituo vinne kitakua nkondo Ruvuma Kigoma Shinyanga umla ya tımu Mbinga United (Ruvuma) Stand FC (Mtwara), Mtama Boys (Lindi). Road Ifunda (Iringa), City Gold Mbeya) na Silent KUNDI :KIGOMA United Rukwa), (Dar KUNDI (Simiyu), Tunduma City (Songwe), (Geita) (Kagera), Nzega United (Tabora) Buhaya Mapinduzi Singida Magerez (Da Salaam). KUNDI C Kilimaniaro). TMA Stars (Arusha) Katesh Cluster Middle Mkundi United Morogoro), (Manyaa) Nyika zinatakiwa kuripoti kituoni wasiopungua Februari 2022 ikiwa nane (18) Viongozi wasiopungua Cliford Mario Ndimbo President: Wallace Email: Februari 2022 General TBC kidao.wilfred@tff.ortz azamty"

Taarifa ya TFF imezitaka timu zote shiriki kuhakikisha zinafika kwenye vituo zilipopangiwa kabla ya Februari 23, ili kwenda sambamba na ratiba ya Michuano hiyo.

Bingwa wa kila Kundi atapanda daraja na kucheza Ligi daraja la Pili msimu wa 2022/23.

Mbunge ataka kibali cha ajira
Simba SC yautaka Ubingwa ASFC