Baada ya msanii Diamond Plutnumz kufanya mahojiano na kituo cha TV cha K24 kilichopo nchini Kenya na kuthibitisha kuwa yupo mbioni kufungua kituo cha TV na radio yake pamoja na studio za wasafi Records, leo January 11 2018 kupitia ukurasa wake instagram ameonesha mahali atakapofungua ofisi hizo.


 

Video: BAVICHA wadai tatizo ni kumsifia Rais Dkt. Magufuli
Tanesco yatoa siku nne kwa wadaiwa sugu