Msanii wa muziki wa bongo fleva Rajab Kahali maarufu Harmonize kwa mara ya kwanza amezungumzia sakata la aliyekuwa mpenzi wake Frida Kajala maarufu kama Kajala ambapo amesema kuwa amewasamehe wale wote ambao walimkosea na amefuta kesi ambayo alimfungulia mwanadada huyo kwa madai ya kumdhalilisha kwa kukiuka sheria ya makosa ya mtandao baada ya kuvujisha picha za utupu zinazodaiwa kuwa ni za msanii

Papaa Msofe afutiwa mashtaka aachiwa huru
Metacha Mnata aomba radhi