Kutana na Mbunge wa viti maalum Njombe, Neema Mgaya, ambaye ameamua kuchangia miradi ya jamii kwa nguvu zake mwenyewe ili kuchochea maendeleo katika jimbo lake.

Tayari amesha changia vyerehani 370 vyenye thamani ya milioni 92 kwa wanawake walio kwenye vikundi ili kufanikisha Tanzania ya viwanda, vitabu katika shule zaidi ya 80 za serikali katika mkoa wa njombe pamoja na kuchangia ujenzi wa madarasa na mabweni, hali kadhalika anaendelea kuchangia ujenzi wa vituo vya Afya.

Video: Serikali yaweka bayana wakulima watakao anza kusajiliwa, vijana wajiajiri kwenye kilimo
Video: Maaskofu watoa maneno mazito, Agizo la JPM ujenzi wa stendi kaa la moto Njombe

Comments

comments