Mgonjwa wa Saratani, Salim Mohamedi anaishi kwa tabu, baada ya kukatwa ulimi uliokuwa umeathirika na sasa shingo yake imetoboka kwa kuliwa na ugonjwa huo.

Mke wake Fatuma Ahmad, ameeleza jinsi ugonjwa wa Saratani ulivyoanza kwa mumewe, kwani hawezi kuongea, pia ameomba msaada ili apate biashara itakayo kuwa inaingiza kipato kwaajili ya kulea familia na mgonjwa,…Bofya hapa kutazama simulizi nzima aliyoitoa alipozungumza kwenye kipindi cha Dar 24 Mkasa.

Mahakama yataka wadhamini wa Lissu kupeleka uthibitisho wa ugonjwa
Wizara ya Ujenzi yapongezwa kwa kuiwezesha TEMESA