Wiki hii kwenye msakatonge, kutana na mwanamke ambaye anaendesha maisha yake kwa kuuza mboga kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma, kilasiku anaamka alfajiri na mchana anavumilia jua lote.

Bofya hapa kutazama na kujua nini siri yake ya kutokata tamaa na alianzaje kazi hiyo bila mtaji.

Serikali inatambua na kuvithamini vituo vya kukuzia vipaji- Dkt. Mwakyembe
Klabu ya Yanga yatoa siku nne kwa wanaojinufaisha na Nembo yake

Comments

comments