Mchujo mkali mauaji Kibiti, Waziri Mkuu afunguka mkakati wahusika wa mauaji, Ashauri walimu Madrasat wawekewe darubini kali,  Mwinyi ampa ‘tano’ Rais awamu ya tano, Lowassa aitwa Polisi kuhojiwa, sumaye ‘alia’ kama zamani…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 27, 2017.

Lowassa kuhojiwa na polisi leo
Marekani yatishia kuishambulia Syria, yasema matumizi ya silaha za kemikali hayakubaliki