Mchungaji wa Kanisa la True Gospel Bible Services Day la Jijini Dar es sa;laam, Daudi Mashimo amemtabiria ushindi mgombea urais wa chama cha Jubilee nchini Kenya, Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio ujao.
 
Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, ambapo amesema kuwa kaoteshwa na Mungu kwamba mgombea huyo kuwa ana nafasi ya kushinda katika uchaguzi huo huku akieleza namna imani yake ilivyomsukuma kuzungumzia uchaguzi huo wa marudio.
 
  • Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete yaweka historia
  • Picha: JWTZ waanza rasmi ujenzi wa ukuta kudhibiti madini ya Tanzanite
  • Mpina afunga machimbo ya mchanga wilayani Mkuranga
    • Zitto: Bunge limezidi kusimangwa na serikali

RC Mongella ashangazwa gari kukosa dereva mwaka mzima
Magazeti ya Tanzania leo Septemba 22, 2017