Afisa mhamasishaji wa timu ya Yanga, Antonio Nugaz amemjia juu bosi wake anayefanya nae kazi katika kituo cha redio cha Clouds Fm na Tv, Shaffih Dauda kuacha kuisema vibaya timu hiyo huku akiwatumia salam wapinzani wao Simba kuelekea mchezo wao wa January 4, 2020…, Bofya kutazama
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=5OUZqCBJl5g]

Australia: wananchi wakimbilia Baharini kujinusuru na moto
Waziri Kigwangalla na katibu wake wakalia kuti kavu 'kutumbuliwa' na Magufuli