Leo Septemba 4, 2017 Msanii wa nyimbo za asili nchini Tanzania, Saida Karoli aliyevuma kitambo, na kurudi tena kwa nguvu ya ajabu, ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Kichaka’ ambapo katika wimbo huo amewashirikisha Belle 9 pamoja na G Nako.

Kichaka ni wimbo wa pili wa Saida tangu ujio wake mpya ambapo awali alitoa wimbo uliokwenda kwa jina la ‘Orugambo’ na kufanya vizuri sana. Bofya hapa kutazama video, kisha muachie ujumbe Saida Karoli hapa chini

Ufaransa yabanwa mbavu na Luxembourg
Kocha wa Hard Rock ataja sababu za kubamizwa na Simba SC