Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ametangaza bei elekezi ya mbolea ya kukuzia mazao UREA  kwa msimu wa kilimo 2019/ 2020 ambayo mkulima wa chini ataweza kuimudu.

Akitangaza bei hiyo elekezi jana, Hasunga amesema hatua hiyo ni katika kuhakikisha uzalishaji wa mazao ya kilimo unaongezeka ili kukidhi mahitaji ya viwanda na kuboresha maisha ya mkulima,…Bofya hapa kutazama.

Southgate atangaza kikosi kitakachozivaa Jamuhuri ya Czech, Bulgaria
Video: Utata RC kuwacharaza bakora wanafunzi 14, Giza ghafla lang'oa kigogo wa Tanesco